Jinsi ya kufanikisha kuchumbiana kwenye mtandao

Ulimwengu wa kuchumbiana kwenye mtandao yatoa fursa tele ya kumpata mpenzi wa dhati. Kupitia  idadi ya habari ya wachumba watarajiwa yaweza kuwa swala gumu, lakini – na yafaa uhakikishe kuwa maelezo ya masifu yako yanavutia kuliko yale mengine.

Kufanikiwa katika kuchumbiana mtandaoni, unahitaji uwe na subira ya hali ya juu, isitoshe wafaa kujifunza kuepuka makosa ya kawaida. Ingawa yaweza kukuchukua mda na juhudi kiasi ya kuchumbiana ili ufanikiwe, waweza kupata uhusiano wa dhati wenye utabadilisha maisha yako. Hivi ndivyo waweza kufanikisha kuchumbiana kwenye mtandao.

Makosa ya kawaida ya kukwepwa kwenye umbo wa mtumiaji

Ingawa umbo wa mtumiaji wa kuchumbiana wako haufai uwe ni kana kwamba ni maelezo binafsi iliyotayarishwa na mtaalamu, ni vyema kutilia maanani vidokezo fulani vya msingi. Kwanza tumia tahajia na saruji iliyosahihi. Lugha ya mikato na vifupisho huifanya umbo wa mtumiaji kuonekana si bovu tuu bali ni ya kitoto. Usiegemee upande mmoja sana hata hivyo. Kwa kutumia lugha ya mapambe na uongo itakufanya uonekane kana kwamba wewe ni mbinafsi. Hakikisha kwamba unathibitisha kwa kusoma mara kadhaa, ama umuulize rafiki yako akusomee.

Ni muhimu pia kuchagua maneno unayotumia kwa makini sana. Kujaza vigezo katika umbo wa mtumiaji yaweza kudhihirisha wewe u hodari, ila kwa kuwaeleza watu shani zako haitawapa wachumba watarajiwa habari kamili kukuhusu ili waweze kuamua kama unafaa kwao. Badala yake zungumza jinsi unavyopenda kupanda milima ama kutumia mitumbwi kwenye maji ya kasi. Jaribu kumvutia msomaji na umbo wa mtumiaji unaoeleza mambo ya ziada. Ufafanuzi maalum katika umbo wa mtumiaji lina ukumbusho wa ziada kuliko kuorodhesha sifa za kawaida.

Hatimaye, uhalisi utachangia pakubwa katika umbo wako wa mtumiaji. Badala ya kuzingatia kwa aina ya watu ambao hungependa kuwachumbia, zungumzia kuhusu wale watu ungelipenda kupatana nao. Kwa kuonyesha wewe una uhalisi na mwenye matumaini makubwa, yasaidia wachumbiwa watarjiwa kukuona kama mtu mzuri. Kwa orodha ukikashifu tabia usizozipenda, kwa upande mwingine, inahamashisha watazamaji wa umbo wako wa mtumiaji kujizuia kutaka kuchumbiana nawe.

Chagua picha la umbo wa  mtumiaji kwa busara

Picha zinazotumika kwenye umbo wa mtumiaji ni hisia ya kwanza unayowasilisha kwa wachumbiwa watarajiwa katika mtandao. Kwa mara nyingi si jinsi ulivyorembeka bali ni kutaka kumpa kila mtu anayetazama umbo wako wa mtumiaji uhakikisho jinsi ulivyo. Unataka kuonyesha sifa zako bora ukizingatia ukweli na unyofu wa picha.

Kwa mfano, kutumia vichujio ama picha za kale hufanya mtu apate ugumu wa kukufahamu kwa alisi yako. Picha za vikundi na picha za kibinafsi zilizo pigwa vibaya yaweza pia kupeana hisia potovu. Badala yake, chagua picha inayoonyesha asili yako na wingi wa furaha katika maisha. Picha uliopigwa ukicheza muziki ama ukimtembeza mbwa wako hutoa utu na maslahi fulani kwa mtazamo mmoja.

Jiwasilishe badala ya kusubiri

Una hiari mbili inapofika kuchumbiana kwenye mtandao: subiri wachumbiwa watarajiwa kukutafuta ama watafute kwa bidii. Kama una uhakika kwamba maelezo yako katika umbo wako wa mtumiaji inavutia ama hauna wasaa wa kuanzilisha maongezi, basi chaguo la kwanza laweza kuwa na faida kwako. Lakini, kutia kwako bidii itakusaidia kupata mchumbumbiwa mtarajiwa kwa haraka na ufanisi. Kutafuta watu manufaa ya kujuana ni mojawapo ya kupoteza dakika chache kila jioni kwa kujifurahisha. Chukua mda wako kila baada ya wakati fulani kupitia umbo za watumiaji za watu wengine ili uongeze nafasi yako ya kupata anayekufaa.

Epukana na kufuatilia michaguo mingi kwa wakati mmoja

Kama hauna wakati uliotenga ili kusoma umbo za watumiaji za kuchumbiana kwenye mtandao, unafaa kupunguza kwa kulenga utafutaji wako ili uboreshe mafanikio yako. Chukua mda wako kwa kusoma kwa makini umbo za watumiaji zote zilizo kupendeza. Kusoma kwa juu haitakupa hisia kamili ya umbo wa mtumiaji yaweza kusababisha mazungumzo yasiyo ya kawaida ikiwa ungependa kumfuata mtu huyo. Na usiwe muoga wa kusema laa kwa yeyote yule ambaye hakufai. Licha ya nia njema kuna mazungumzo mengine ya awali na wachumbiwa watarajiwa hua haifui dafu. Kukatiza mazungumzo yale na kuendelea na mambo mengine yawaepusha ninyi nyote kuwekeza kwenye wakati ilhali mambo yale hayataendelea.

Tazamia muda wa kweli

Kumtafuta mpenzi haifanyiki kwa haraka; kuimarisha uhusiano wa kudumu yahitaji mda na kazi. Ingawa hakuna mahusiano mawili ambayo yamekuwa sawa, ni muhimu kujitayarisha kwa wakati halisi. Kwa uhusiano mpya ni nadhifu kuichukua polepole. Ni kukosa ukomavu wakati ambapo baada a siku chache za kuchumbiana maongezi kuhusu ndoa ama kujumlisha mapato yenu yanapo chipuka. Hata hivyo, baada ya siku chache ya kuchumbiana, kukutana na marafiki wa yule unaemchumbia ama kukaa kwake mwishoni mwa juma  ni jambo la kawaida.

Kuza mawasiliano

Mawasiliano ni muhimu katika hatua zote za uhusiano, lakini ni muhimu zaidi kama mmefahamiana na mpenzi wako kwa wakati mdogo. Kujuliana hali mara kwa mara ni hakikisho kuwa mko kwenye kurasa moja. Swala linapoibuka kumbuka ni muhimu kulishughulikia swala lile moja kwa moja na mpenzi wako. Kuweka matarajio halisi kunaweza yaweza kukusaidia kuamua uhusiano wenu na sifa zake ama kuepukana na kuchanganyikiwa.

Kumbuka watu wengi wamefanikiwa na wakaweza kupata uhusuani wa kudumu kutokana na kuchumbiana kwenye mtandao. Imeweza kufungua ulimwengu mwingine mpya wa uhusiano – na ni rahisi kuanza.

Umevutiwa na mtindo wa kuchumbiana kwenye mtandao? Anza utafiti leo.  

Sorry, we couldn't find any posts. Please try a different search.

Featured Tip

If you’re looking for the perfect present for any holiday, choose a gift card – 89% of people prefer gift cards to an actual item, according to Blackhawk Network.